Kiswahili Fasihi

Kidato cha Nne

     

(SIRI)

MWONGOZO HUU UNA KURASA 8 ZILI

MWONGOZO HUU UNA KURASA 8 ZILIZOCHAPISHWA MAJIBU KUANZIA UKURASA WA 2 HADI 9.

SEHEMU A:  USHAIRI (LAZIMA)         

1a)       (i) Ni shairi huru kwa sababu mshairi ametumia (i) mishata mf. katu, eti, niondoke

            (ii) Shairi lina umbo la paa la nyumba

            (iii) Matumizi ya alama za uakifishaji kwa wingi 

(hoja 2×1= alama 2)

  b)       (i)Anatishwa kwa risasi.

            (ii) kupigwa mateke na mikuki

            (iii) kuponda mali yake

            (iv) kuletewa hatimiliki bandia

            (hoja 4×1= alama 4)

  c)       (i) huzuni                                                                                                

            (ii) ujasiri                                            

(iii) uchungu

(hoja 2×1= alama 2)

d) (i)    Shairi lina beti saba.

      (ii) Kila ubeti una mishororo sita.

      (iii) Lina umbo la paa la nyumba.

                        (hoja 3×1= alama 3)

e) Usambamba – Ni urudiaji wa kiwango cha sentensi, kirai (n.k)

            mf. (i) Niondoke, mimi niondoke hapa, niondoke hapa kwangu

            (ii) Siondoki, siondoki, siondoki niondoke hapa kwangu 

(hoja 2×1= alama 2)

f) Mshairi anasema kamwe hatoki kwake.  Anaashiria chini ya mti waliozikwa babu zake na kusisitiza kwamba hawezi akaondoka     

(hoja 3×1= alama 3)

g) Inkisari – (i) Sendi – Siendi       Nende wapi – Niende wapi

 (ii)  Kuboroga sarufi, mfano: yangu mimi ni ardhi hii – Ardhi hii ni yangu mimi.(1 x 1)

(hoja 1×1= alama1)                                              

h) (i) karatasi – hati miliki

    (ii) nimesaki – nimebaki

    (iii) kitovu – asili    

                        (hoja 3×1= alama 3)

TAMTHILIA:Kigogo

2. a) (i) Msemaji ni majoka              

(ii) Anamwambia Daktari

(iii) Mahali ni ndani ya ambulensi

(iv) Kilichotokea hapa ni kuwa Majoka alikuwa amezirai. Anamwambia Daktari maneno haya akiwa anadhani anaongea na babu yake Ngao.   

(hoja 4×1= alama 4)

b) Mbinu za lugha

       (i) Jazanda – Sauti ya Jabali inaashiria mauaji / Adha – kero

      (ii) Uhaishaji – inanikama roho

(iii) Mbinu rejeshi / kisengerenyuma

c)   (i) uendeleza biashara ya dawa za kulevya

(ii) kuharibu mazingira kwa kuruhusu biashara ya ukataji miti

(iii) kumwendea kinyume mkewe Husda kwa kutaka mapenzi kutoka kwa Ashua

(iv) kutaka kuharibu ndoa ya Ashua na Sudi

(v) vijana kuangamia kupitia biashara ya pembe haramu

(vi) Majoka anamuua Ngurumo na kukificha kifo chake katika chatu

(vi) Wanajamii wanateseka kwa kitendo chake cha kulifunga soko

(vii) Anakamwa roho na damu ya vijana wanaofia katika kiwanda cha Majoka na Majoka.

(viii) Anakamwa na damu ya babake Tunu ambaye alifia katika kiwanda cha Majoka bila bima.

(ix) Majoka anawadhulumu wafanyakazi wanaozalisha uchumi.

(x) Anapanga na kumuumiza Tunu.

(xi) ukosefu wa chakula katika Sokomoko

(xii) mauaji ya waandamanaji

(xiii) Anataka kujenga hoteli ya kifahari katika ardhi ya umma aliyonyakua.

(xiv) Anatumia binamu yake Kenga kuendeleza miradi yake ya kihila.

(xv) maandamano ya Wanasagamoyo

3. Athari zozote kumi za tamaa na ubinafsi katika tamthilia ya Kigogo

(i) Umaskini – Hii inatokana na kunyakuliwa kwa ardhi ya soko la Chapakazi

(ii) Ari ya mapinduzi – Tamaa na ubinafsi wa watawala vinakarifisha wazalendo kama Tunu na Sudi na wanaanzisha harakati za kuung’oa mamlakani uongozi wa Majoka.

(iii) Uchafuzi wa mazingira – Tamaa ya wanaviwanda inawasukuma kutupa kemikali na taka kwenye mitaro ya maji.

(iv)Utabaka – kuna matajiri Sagamoyo kama Majoka kutokana na tamaa ya kuwa na mali nyingi. Kuna maskini kwa mfano walevi.

(v) matumizi mabaya ya vyombo vya dola- kutokana na tamaa ya kutaka kusalia mamlakani. Majoka anatumia vyombo vya dola kama polisi na jela kutekeleza unyama.

(vi) vyombo vya habari

             (vii) ukame – Ukataji miti ovyo umesababisha maziwa na mito kukauka. Biashara hii

imekubaliwa na Majoka.

(viii) kuathirika kisaikolojia – Tamaa na Ubinafsi wa Majoka unamfanya kutekeleza ukatili ambao unaifanya nafsi yake kumhukumu.

(ix) unyanyasaji – Tamaa ya viongozi inawafanya wadai kodi kubwa ambayo haitumiwi kuimarisha soko la Chapakazi.

(x)Tamaa ya kukopakopa fedha katika mataifa ya nje inawaachia wanajamii mzigo wa kulipa madeni hayo kwa muda mrefu.

(xi)Tamaa na ubinafsi wa wafuasi wa Majoka kama vile Boza na Ngurumo vinawafanya kufumbia macho uozo wa Kigogo Majoka.

(xii) vifo

(xiii) njaa

(xiv) utengano katika jamii

Riwaya: Chozi la Heri         

4. Kuweka dondoo katika muktadha wake.                                                  

            (i) Mzungumzaji ni Ridhaa.

            (ii) Anayezungumziwa ni Kaizari.

           (iii) Ni katika kambi/mabanda- Kwenye Msitu wa Mamba

(iv) Ni baada ya Kaizari kumsimulia Ridhaa magumu aliyoyapitia kutoka kwake nyumbani hadi kujipata kweye hali nyingine ngumu katika kambi.

     b) Ni hali gani inayorejelewa kwenye dondoo?                                                    

    (i) Mke wa Kaizari, Subira ananyakwa kofi kubwa

   (ii) Anarejelewa kama kidume kijoga-kudharauliwa

  (iii) Mke wake anakatwa kwa sime na kuzirai kwa uchungu

      (iv) Bintize – Lime na Mwanaheri- wanafanyiwa unyama na mabarobaro

      (v) Jirani yake Tulia anamfukuza anapojaribu kuwapa mke wake na watoto huduma za kwanza

 (vii) Wanawe wanazirai ubavuni mwake

 (viii) Anaabiri gari bila kujua waendako na jamaa zake

 (ix) Walitazama mabasi yakichomwa kwenye safari iliyokuwa ndefu

      (x) Gari linaisha petroli- wanajitoma msituni

      (xi) Wanakula mate usiku wa kwanza kutokana na ugeni/ukosefu wa chakula

      (xii) Kuna hali mbaya ya baridi na umande wa asubuhi

      (xiii) Wanakosa maji safi ya kunywa kwenye msitu

      (xiv) Kunywa maji ya Mto wa Mamba kunawasababishia homa ya tumbo.

      (xv) Vijumba vichache havikutosha kuhimili idadi ya wakimbizi

      (xvi) Huduma za kijamii zinaadimika –ukosefu wa misala na misala ya kupeperushwa

      (xvii) Sandarusi za kutumiwa kama misala zilitafutwa mbali kwenye milima ya taka.

     (xviii) Roho za watoto zilibwakurwa na magarimoshi kwenye reli walipoenda haja kule

     (xix) Kuna hali ya njaa na vilio vya watoto wenye njaa

5. (i) Subira alitengwa na familia ya mume wake kwa kuwa wa kabila tofauti na lao

(ii) Mwanaheri anatueleza kuwa mama yake alikuwa ametoka kwenye jamii ya mamwezi lakini babake alikuwa wa jamii tofauti. Kila mara subira aliitwa ‘muki’ au huyo wa kuja

(iii) Kijana mmoja alimwita Ridhaa mfuata mvua jambo lilimuumiza sana Ridhaa.

(iv) Mzee kendi alimtendea udhalimu Ridhaa na kuiteketeza aila yake licha ya wao kuwa majirani kwa miaka hamsini. Ridhaa alifanyiwa hivi kwa kuwa alikuwa ametoka kwenye kabila tofauti na mzee kendi.

(v) Ndoa ya Selume ilisabaratika baada ya vita vya kutawazwa kwa kiongozi mpya.

kuoa msichana wa kikwao.

(vi) Tulia alimsaidia kaizari kufunganya na kumsidikiza hadi njia panda. Alimkumbatia na kumwambia kuwa mwenyezi Mungu ndiye hupanga na nguvu na mamlaka pia hutoka kwake

(vii) Uongozi mpya umezua uhasama kati ya koo ambazo zimeishi kwa amani kwa karibu karne moja.

(viii) Subira aliweza kuvumilia kubaguliwa, kufitiniwa na kulaumiwa kwa asiyoyatenda, Mwishowe alihiari kujiondokea na kwenda mjini alikojinywea kinywaji kikali.                          (zozote 10 x 2)

Diwani: Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine   

6.a) Mapenzi ya kifaurongo

 (i)Ndoa iliyotarajiwa ya Dennis na Penina ilitawaliwa na unafiki. Penina anamjia Dennis na wazo la kuwa wapenzi bila kuzingatia hali duni ya familia yake. Dennis anapokosa ajira anamfukuza.

(ii)Inatawaliwa na kuvumiliana.

(iii)Imetawaliwa na kukata tamaa – Penina anakata tamaa baada ya Dennis kukosa kazi

(iv)Imezingirwa na utabaka wa kiasili.

(v)Mapenzi hukua, huugua na hufa.                                                               5 x 1 = 5

            b) Masharti ya kisasa

       (i)  Ndoa ya Dadi na Kidawa

i) Ndoa inayodhibitiwa na masharti

ii)Ndoa ya kugawana majukumu

iii)Ndoa ya kupanga uzazi

iv)Ndoa inayoruhusu mwanamke kufanya kazi. Kidawa anafanya kazi ya umetroni usiku na kuuza bidhaa mtaani

v)Baadhi ya watu huingilia ndoa za wenzao kama njia ya kuona mapenzi yamevunjika baina ya wanandoa husika.

5 x 1 = 5

c) Mtihani wa maisha

   i) wazazi wa Samueli ni wenye mapenzi wanaonyesha mapenzi kwa mtoto huyu wao kwa kumpeleka shuleni akajipatie elimu

            ii) Samuel anaonyesha mapenzi kwa Nina. Kwa muda amekuwa mpenziwe

            iii) Nina anaamini kuwa mwanaume huyu ni bingwa kutokana na kudanganywa alikodanganywa na mwanaume huyu

            iv) mamake Samueli ana mapenzi ya dhati kwake, baada ya Samuel kujaribu kujitoa uhai mamake anamsihi waende nyumbani “Twende zetu nyumbani mwanangu.”    

            zozote 4 x 1 = 4

d) Ndoto ya Mashaka

i)Kuna ndoa ya Mashaka na Waridi

ii)Kuna ndoa ya mtumwa na mumewe mzee Rubeya

iii)Tatizo la kwanza ni ndoa ya kulazimishwa. Mashaka na Waridi walitoka kwenye matabaka mawili tofauti

            Waridi – tabaka la kitajiri

            Mashaka – tabaka la maskini

iv)Kuna kutohusisha wanawake katika ndoa. Mamake Waridi hakuhusishwa katika harusi

v)         Ndoa inakumbwa na tatizo la malazi bora – upendo, kujikubali, ukosefu wa taasubi ya kiume

vi) Kuna changamoto zinazojitokeza baada ya kifo cha mmoja. Mashaka anawachwa yatima

vii) Kuna utengano katika ndoa. Waridi anatengana na mumewe kutokana na hali ngumu ya kiuchumi

7. MAME BAKARI

  • Watoto wa kike kubaguliwa na walimu pamoja na wanafunzi baada ya kuwa wajawazito. Sara anaogopa kufukuzwa shuleni na mwalimu mkuu.
  • Badala ya walimu kuwapa ushauri nasaha wanawapiga vijembe na kuwadhihaki.
  • Umuhimu wa bidi katika masomo. Sara na rafiki yake Sarina wanasomamasomoyaziada.
  • Twisheniinayofanyikausikuinahatarishausalamawawanafunzi. Hilindilolinasababishakubakwakwasara.

MWALIMU MSTAAFU

  • Elimunichombo cha ajira. WanafunziwaliofunzwanamwalimuMosiwaliishiakuwamadaktari, marubani, wahadisin.k
  • Elimuinajukumu la kujengauhusianomwemabainayawanajamii. Mosianajenga uhusiano/mkabalamwemanawanafunzi wake.
  • Elimuinadhimayakukuzavipajivyawanafunzi. Wanafunziwaliimbanakuchezazeze, violini, marimba, vinubi, kucheza drama nasarakasisikuyakustaafukwamwalimuMosi.
  • Ina jukumu la kuadilishawanafunzi. Mfano Jairo anashauriwanaMosikutoshirikikunywapombe.
  • Waliopuuzamasomokama Jairo hawakufuadafu.

8: FASIHI SIMULIZI      

Maanaya:

  1. Misimu: Ni semi zamudazinazozuka au kubuniwakatikamazingiramaalumunakipindimaalumu cha wakati.(Semi hizihuwezakutowekapamojanatukiolililosababishakubuniwakwakeauzikanawirinakuwamisemo.)   1×2=2
  2. Ngomezi: Ni sanaayangomainayohusishauchezajiwangomakuwasilishaujumbekuhusu mambo kama vile ya vita, kuzaliwakwamtoto, janga la moto, uvamizi, msiba au kifoamaharusikulikokutumiamanenoyamdomokwakutumiampigonaisharambalimbali. 1×2=2
  3. Miviga: Ni sherehezakitamaduniambazohufanywanajamiiyoyotekatikakipindimaalumu cha mwakamaranyingizikifanywakamanjiayakuvushamwanajamiikutokakiwango au kundimojahadijingine. 1×2=2
  4. Maapizo: Ni dua au maombimaalumuyakumtakaMungu, miungu, au mizimukumwadhibumhusikamwovuanayefaakulaaniwa au kumtakiamabayanahufanywanamtuanayehisikuwaametendewauovu au amesalitiwa.1×1=2

b) i. Dhimasitazamiviga 6×1=6

-huelimishawanajamii.Vijanakupitiamivigakama vile jandohuwezakufundishwakuhusu mambo ya utu uzimananamnayakukabiliananachangamotozamaisha.

       -huonyeshamatarajioyajamiikwawanajamiikupitiasherehekamaharusi, matarajiokuhusu wake au waume.

      -nikitambulisho cha jamiikwakuwakilajamiiinamivigayakemahususiyenyempangilionamtindowajamiihusika.

      -huhifadhinakuendelezautamaduniwajamiikwakuwahupitishwakutokakizazihadikingine.

     -hukuzauzalendokwakuhimizawanajamiikuzioneafaharitamadunizajamiizaowanapojumuikapamojakatikasherehe.

     -huhimizanakukuzaumojanautangamanomiongonimwawanajamiiwanapojumuikapamojakatikamatambiko, harusi au mazishini.

     -huwasaidiawanajamiikukabiliananahalingumuzamaishakama vile kifo.

     -ninjiayakupitishamaadilinathamanizajamiikwaniwanajamiikupitiamivigahufunzwaumuhimuwakazi, unyumba, uzazinamalezi.

      -nikigezo au mizaniyakuwavushawanajamiikutokadarajahadinyinginekupitiajandokutokautotoni, harusikuvushakutokauseja/ujanenakuingiandoani.

     -huonyeshaimanizakidinizajamiihusikakwakuwakilamivigahuwanaimanizinazoambatananayo.

ii. Sifazamisimu 6×1=6

  -misimuni semi zisizokuwasanifunahivyohazitumikikatikamiktadharasmi.

  -misimuhuundwakwambinumbalimbalikamautohozi au kugeuzampangiliowamanenokamaristobadalayastori.

  -huzukanakutowekakatikabaadayamudafulani.

  -hutumiwanawatukatikamawasilianoyaokatikakipindimaalumu cha wakati.

  -hutumiwanakundifulani la watukufanikishamawasiliano-kunamisimuyavijana, wafanyakazikatikavyombovyausafiri, au yawatoto.

  -baadhiyamisimuisiyopoteahudumunakubadilikakuwa semi au msamiatisanifuwalughahusika.

  -misimuhupatamaanakutokakwawatumiajipamojanamuktadhawamahalinawakati. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *