KIDATO CHA NNE 2022 INSHA

102/1 – KISWAHILI – Karatasi   ya 1

INSHA

102/1 – KISWAHILI – Karatasi   ya 1

INSHA

Jina ……………………………………………………… NambariYako.……………………….

Sahihiya Mtahiniwa………………………………………Tarehe……………………………….

Maagizo

a) Andika jina na nambari yako ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapo juu.

b) Tia sahihi yako kisha uandike tarehe ya mtihani katika nafasi ulizoachiwa hapo juu.

c) Andika insha mbili. Insha ya kwanza ni ya lazima. Chagua insha ya pili kutoka zile tatu zilizosalia. Kila insha isipungue maneno 400. Kila insha ina alama 20

d) Insha zako ziandikwe katika karatasi zilizoambatanishwa kwenye karatasi hii ya maswali.

e) Majibu yote lazima yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili.

f) Usitoe ukurasa wowote kutoka kwenye kijitabu hiki.

g)Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa.

h) Watahiniwa ni lazima wahakikishe kwamba kurasa zote za karatasi hii zimepigwa chapa sawasawa na kuwa maswali yote yamo.

                                           ________________________________________

                        Kwa Matumizi ya Mtahini Pekee

         Swali          Upeo       Alama
           1          20 
   2, 3 au 4                 20 
            Jumla          40 

1. LAZIMA

Visa vya kuwatelekeza wakongwe vimeongezeka sana katika eneo lenu la Telekeza. Andika kumbukumbu huku ukifafanua mifano ya visa hivi na upendekeze namna mbalimbali za kukabiliana na tatizo hili.

2. Jadili jinsi mbalimbali za kuboresha mshikamano wa kitaifa.                                      

3. Ukupigao ndio ukufunzao.

4. Andika kisa kinachomalizika kwa maneno haya:

“…tangu siku hiyo sitawahi kumwamini mtu yeyote nisiyemfahamu vyema.”  

Huu ndio ukurasa wa mwisho uliochapishwa.

Scroll to Top