MTIHANI WA KCSE
KIDATO CHA NNE 2022 102/3- KISWAHILI – Karatasi ya Tatu FASIHI- 2022- Muda: – Saa 2 1.SEHEMU YA ‘A’: USHAIRI (LAZIMA) Eti Mimi niondoke hapa Niondoke hapa kwangu Nimesaki, licha ya risasi Vitisho na mauaji, siondoki Mimi Siondoki Siondoki siondoki Niondoke hapa kwangu! Kwa mateke hata na mikuki Marungu na bunduki, siondoki Hapa Siondoki […]